Menu

Kwa nini amani inahitajika nchini Maziwa Makuu ya Afrika 

‘Watu wanaokadiririwa kuwa milioni 5.4 wamekufa kutokana na vita na athari zake nyemelezi tangu mnamo mwaka 1998. licha ya kukoma rasmi kwa vita hivi  mnamo Disemba mwaka 2002, takriban Wakongo 500,000 wameendelea kufa kila mwaka.’

International Rescue Committee

Mgogoro katika nchi ya Maziwa Makuu ya Afrika umesababisha miaka mingi ya kutokuwa na utulivu katika sehemu zote mbili nchi pia eneo pana zaidi la Maziwa Makuu. Kutokuwepo na amani kumesababisha familia kuhamishwa, kumeongeza kuwepo kwa magonjwa, na kuzuia vijana kuweza kufikia elimu.

Lakini amani inawezekana...

Mara kwa mara Siku ya Amani imethibitisha kuwa ndiyo kichapuzi cha ushirikiano na ujengaji wa- amani na, kama ilivyoonyesha kule Afghanstan, inaweza kutoa fursa kwa jumuia zilizo na mahitaji, na kuwawezesha watu na mashirika kutekeleza shughuli za kuokoa-maisha kwenye siku hii usika.

Tafadhali bingiriza chini ili kujifunza zaidi kuhusu kazi za Peace One Day katiaka eneo hili, zikiwemo filamu, picha na taarifa zaidi kuhusu washirika na wanachama wetu wa mseto.

Ili kujifunza mengi kuhusu Maziwa Makuu ya Afrika, tafadhali bofya hapa: 

Mikutano ya kampeni ya vijana ya mwaka wa 2016
Mikutano, Kampala 2016

lkuwa ni fahari kuweza kupata uungwaji mkono kwa kiasi kikubwa kwa kampeni zetu and Sherehe za Peace One Day za Vijana kutoka kwa wadau mbalimbali tuliyowahusisha wakati wa safari yetu ya Kampala, Uganda, Machi 2016:

Dk Yusuf Nsubuga - Mkurugenzi wa Elimu ya Chini na ya Sekondari & Mratibu waSekta ya UKIMWI
Mh. Bw. Henry Oryem Okello - Mheshimiwa Waziri wa Mambo ya Nje
Karen McCormack - Mkurugenzi Msaidizi,  wa British Council jijini Kampala
Mheshimiwa Eveline Anite - Waziri wa Kitaifa wa Vijana na Watoto

Utaridhia Amani na Nani?