Menu

Ifuatayo ni misururu ya rasilimali, idhaa za vyombo vya habari na viungo vya mtandao wa jamii ambavyo vitakusaidia kujifunza zaidi kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kukuwezesha kufuatilia maendeleo kwa kadiri yanavyo jiri. 

Vyombo Vya Habari

Kwa habari zinazotokea DRC...

Redio Okapi

Redio ni mojawapo ya majukwa yaliyoenea zaidi nchini DRC na eneo kubwa zaidi la Maziwa Makuu, kama inavyotumika kote nchini katika kusambaza na kuzungumzia maswala ya hivi punde.

Radio Okapi

Kikao cha Vyombo vya Habari cha UN

Kwa taarifa za hivi punde zaidi kutoka kwa Umoja wa Mataifa zinazohusu DRC bofya hapa:

Mtandao wa Kijamii

Twiti kuhusu "#DRC" 

 

Akaunti za Twitter za kufuata:

 • @MONUSCO - Huduma ya Udhibiti ya Shirika la Umoja wa Mataifa nchini DR Congo
 • @UNICEFDRC - UNICEF DRC
 • @PNUDRDC – UNDP DRC
 • @UNPeacekeeping - Hifadhi ya Amani ya UN 
 • @UNOCHA_EA - Ufisi ya Eneo ya UN kwa ajili ya Uratibu wa Maswala ya Kibinadamu
 • @UNOCHA_DRC – Ofisi ya DRC kwa niaba ya Ofisi ya UN kwa Uratibu ya Maswala ya Kibinadamu
 • @KoblerSrsg – Martin Kobler, Mwakilishi Maalum wa katibu-Mkuu (Mkuun wa MONUSCO)
 • @HMADianeCorner – Balozi wa Uingereza nchini  DRC 
 • @US_SEGL – Ujumbe Maalum wa Marekani katika Eneo la Maziwa Makuu la Afrika na DRC
 • @SFCG_ - Utafiti wa Maslahi ya Pamoja
 • @DenisMukwege – Dakitari mtaalam wa kusaidia waathirika wa ukatili wa ngono
 • @FidelBaf – Fidel Bafilemba, Mchunguzi wa Enough Project

 

Tovuti na Blogi

Angalia tovuti hizi ili kupata uchanganuzi, taarifa na miradi inayoendelea nchini DRC 

Name Link
MONUSCO

Bofya hapa

UN Data - DRC Profile  Bofya hapa
Howard G. Buffett Foundation Bofya hapa
Search for Common Ground Bofya hapa
BBC DRC Country Profile Bofya hapa
Thomson Reuters Foundation - DRC Profile Bofya hapa
Pona Bana (UNICEF DRC) Bofya hapa

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Wana Bloggers

Mada ya Blog Kiungo
Congo Siasa www.congosiasa.blogspot.co.uk
Digital Djeli www.digitaldjeli.com
Christoph Vogel www.christophvogel.net
Local Voices Project www.localvoicesproject.com

 

Filamu Kuhusu DRC
Ripoti na Makala

Ifuatayo ni misururu ya ripoti na makala kuhusu mapigano nchini DRC kutoka katika mseto wa mashirika.

Hii ni mifano ya uchunguzi na masomo huru ambayo Peace One Day inaimarisha. Hatukuchangia kwa vyovyote vile katika uandishi wa nyaraka hizi, maudhui ya ripoti hizi haya akisi kwa vyovyote vile msimamo wa Peace One day.

Tarehe ya Uchapishaji Jina la Mtu binafsi au Shirika Mada Ufikivu
Machi 2013 Médecins Sans Frontières Dharura ya Kila siku: Kuumia kwa Siri katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo  Bofya hapa
Januari 2013 United Nations Group of Experts Ripoti ya Mwisho ya Kundi la Wataalam kuhusu Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo Bofya hapa
Novemba 2013 Sonke Gender Justice Network Uhusiano wa Jinsia, Ukatili wa Kijinsia na Athari za Mapigano kwa Wanawake na Wanaume Kivu Kasikazini, Mashariki pa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Bofya hapa
Oktoba 2013 Enough Project Kurejesha Kongo Mashariki Bofya hapa
Septemba 2013 UN OCHA  Afrika Mashariki: Ripoti ya Idadi ya watu walio hamishwa Bofya hapa
Julai 2013 United Nations Group of Experts Ripoti ya Kati kati ya kipimo cha mda ya Kundi la Wataalam kuhusu Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Bofya hapa
Julai 2013 International Crisis Group (ICG) Kuelewa Mgogoro katika Kongo Mashariki  (I): Nyika ya  Ruzizi  Bofya hapa
Septemba 2012 International Alert Kumaliza Msuguano: Kuelekea katika Maono Mapwa ya Amani DRC Mashariki Bofya hapa
2012 US State Department Ripoti ya Haki za Kibinadamu ya 2012 ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Bofya hapa
2012 Rift Valley Institute /  Usalama Project Kutoka CNDP hadi M23: Mkengeuko wa Vuguvugu lenye Silaha Kongo Mashariki Bofya hapa
2007 International Rescue Committee (IRC) Mauaji katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Bofya hapa

 

Orodha ya Kusoma ya Peace One Day

Dancing in the Glory of Monsters