Menu

Peace One Day wana furaha kufanyakazi na Wakfu wa​ Last Night a DJ Saved My Life Foundation katika uanzilishi huu.

Seti kwa ajili ya Amani imeweza kushuhudia DJ kama vile Idris Elba, Paul van DJK, David Morales na Andi Durrant wa Capital FM wakitumia muziki wao kwa ajili ya amani. Siku hii ya Amani tungependa uweze kujihusisha na kutumia nguvu za mitambo yako katika kuunganisha watu kwenye ukumbi wa densi.  

 

Kwa taarifa zaidi, tafadhali tazama kipeperushi chetu hapo chini na pakua Namna ya Kuongoza yetu hapo chini.

Kama ulipiga Seti ya muziki kwa ajili ya Amani kwenye Siku ya Amani ya mnamo 2014, tafadhali tujuze kuhusu hilo na ututajie takribani watu wangapi walihusika / walihudhuria kwa kututumia baruapepe katika: setforpeace@peaceoneday.org

Vipaumbele

Tazama kihifadhi picha hapo chini kwa picha za DJs, watayarishaji na MCs waliopiga Seti za muziki katika hafla za Amani ulimwenguni kote kwenye Siku ya Amani ya mnamo

 

Ujumbe wa Msaada

Ifuatayo ni misururu ya mahojiano yanayojumuisha Paul Van Dyk, Shovell The Drum Warrior (M-People), DJ Ease (Nightmares On Wax), Dave Beer (Back to Basics), Klaudia Jasmin (Flux), Tom Crawshaw, Dean Creole (Afro-Coalition), Malcolm WeLove (Afro-Coalition), Sy Legg (Afro-Coalition) na Neil Jacques.