Menu

"Muziki inaelezea hisia ya kile ambacho hakiwezi kuelezwa kwa maneno na kile kisichoweza kukaa kimya."  - Victor Hugo

"Ufahamu unawezekana tu kupitia mabadiliko, mabadiliko yanawezekana tu kupitia vuguvugu."  - Aldous Huxley

Muziki na dansi zimethibitisha kumiliki uwezo wa kusaidia uponyaji utokanao na uzoefu kiwewe, kuleta ubinadamu na matumaini katika jamii zenye vita, kwa kuwapatamisha na kuwaunganisha watu binafsi na kwa hivyo kusaidia kuleta amani, na sisi wenyewe na kwa kila mmoja.

Tuna uchu mkubwa kuhusu kutumia dhima amabyo muziki, dansi na vuguvugu inaweza kutoa katika kukuza ujumbe wa amani. Tunahimiza watu binafsi, jamii na mashirika kujihusisha kwenye Siku ya Amani kutumia mipango yetu yoyote ya Dansi ya Siku Moja, Seti kwa ajili ya Amani na Sauti ya Amani au na wazo lako mwenyewe. Tafadhali tu kumbuka kutujulisha unachopanga kufanya kwa kupitia barua pepe au kwa kukamilisha fomu yetu ya shughuli.

Tafadhali bonyeza picha zilizo hapa chini ili kujua zaidi kuhusu kila mpango: