Menu

2013

Peace One Day inalenga katika kufanya kampeni ya kidiplomasia kila mwaka, ikitumia mtandao wake wa uhusiano uliopo na uhusiano mpya, katika kuhimiza kushiriki kwa serikali, mashirika ya kati ya serikali, wahusika wa mgogoro  na Umoja wa Mataifa katika kampeni za Siku ya Amani. Peace One Day imeweza  kuidhinishwa na wahusika mbalimbali wakuu wa daraja – wakiwemo: Katibu -Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon;  Baraza la wazee; Naibu  wa katibu-Mkuu  wa Umoja wa Mataifa  Jan Eliasson; Msaidizi wa katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Judy Cheng-Hopkins; Kamishina mkuu  wa Umoja wa Mataifa wa wakimbizi  António Guterres;  Msimamizi wa UNDP  Helen Clark; Kamishina wa Muungano wa Nchi huru za Bara la Afrika wa Amani na Ulinzi Balozi Ramtane Lamamra; Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron; na  Katibu wa maswala ya Kigeni wa Uingereza William Hague.

Kauli za Msaada 2012
Uzinduliwaji wa 2012