Menu
Wanachama

Peace One Day imefurahishwa sana kwamba makampuni yalio hapo chini ni wanachama wa mseto wa kampuni na ingependa kushukuru kila mmoja wao kwa msaada wao wa kipekee.

Marketing Week (Wiki ya Mauzo)

 

Peace One Day iliwekwa kwenye ukurasa wa juu wa toleo la hivi punde zaidi la Wiki ya Mauzo, ambapo Jeremy alihojiwa kuhusiana na wajibu wa makampuni katika mchakato wa amani.

Makala ya mtandaoni yanaweza kupatikana hapa.

KUSUDIO LA MSETO WA KAMPUNI

1. Kukuza ufahamisho wa Siku ya Amani, Septemba 21.

2. Kuongeza viwango vya uhusishwaji na kushiriki kote ulimmwenguni katika Siku ya Amani.

3. Kuchangisha fedha za kusaidia Peace One Day shiriki lisilokuwa la faida na kuiwezesha kuzindua programu za mikakati.

KWA NINI MAKAMPUNI YANAPASWA KUJIUNGA?
  • Kuchangia katika jumuia kwa njia nzuri. Ulimwengu wenye amani zaidi utaweza kuunda uthabiti mkubwa zaidi wa kiuchumi na kuongeza biashara.
  • Kuongeza mshikamano na nia njema ya nembo ya biashara na kujenga thamani yake ya biashara. Mseto wa kampuni unatoa jukwaa kwa makampuni kuweza kuonyesha kujitolea kwao katika ulimwengu wenye amani na uendelevu zaidi.
  • Kuunganisha na kuwapa moyo wafanyakazi wa kimataifa ulimwenguni kote.
  • Kutumia vizuri uwezo wa utumiaji kama njia ya kufanya uhamasishaji kwa uzuri na kwa kutumia nguvu za watu muhimu, waundaji maoni na viongozi wa biashara.
  • Kupokea mseto mpana wa manufaa yanayohusiana, kuanzia katika ; alama za nembo, filamu na hotuba za tikiti za VIP katika hafla maalum na umiliki wa uazilishi wa Peace One Day.Haya yote yameelezewa kwa upana na marefu katika waraka unaoainisha Mseto wa Kampuni ambao unapatikana hapa chini.
  • Kuangazia ufahamisho kuhusu Siku ya Amani. Ufahamisho ulioundwa na mseto wa kampuni kuunda hatua, na hatua hiyo huokoa maisha - watoto wachache zaidi wanadhulumiwa, wanawake wachache zaidi wanapigwa, nazo bunduki chache zaidi zinafyatuliwa.
NAMNA YA KUJIUNGA NA MSETO A KAMPUNI

Uanachama wa mseto wa kampuni wa Peace One Day unapatikana katika viwango vitatu tofauti vya ufadhili. Maelenzo haya pamoja na taarifa zaidi vyote vinaweza kupatikana katika waraka huu unaoainisha hayo.

bruin.maufe [at] peaceoneday.org

harry.shawyer [at] peaceoneday.org

Kauli za Filamu
Uzinduaji wa Kampuni wa Awali