Menu

Kwa kufikia Rasilimali za Elimu Bila malipo, tafadhali jiandikishe au ingia hapa chini.

Education Resources

Amani Huanzia Darasani

Filamu imekuwa siku zote mbinu thabiti ya kugawiza ujumbe wa Siku ya Amani. Rasilimali zimeundwa ili ziweza kutumiwa pamoja na ile filamu ya hali halisi ya Jeremy Gilley iliyotuzwa tuzo ya, Siku baada ya Amani

Pindi unapojisajili, unafikia vipengele hivi vyote bila malipo:

Rasilimali (Bila malipo)

  • Rasilimali ya shule za Msingi za Uingereza  (5-11)
  • Rasilimali ya shule za Upili za Uingereza (11-18) 
  • Rasilimali za Marekani
  • Rasilimali za Kolombia 
  • Rasilimali za Kimataifa za Elimu (lugha 6 za Umoja wa Mataifa: Kiingereza, Kihispania,Kirusi, Kiarabu, Kimandarini, Kifaransa)

 

Filamu

  • Filamu ya Siku Baada ya Amani (dakika 32)
  • Utambulisho wa Peace One Day (takriban dakika 5)

 

Miradi ya Skype

  • Peace One Day hutumia Skype ili kuunganika katika madarasa yote yaliyo na watu duniani kote. Katika ukurasa huu unaweza kujifunza mingi kuhusu miradi hii ikiwemo mazungumzo ya Skype, pale ambapo mwasisi wa Peace One Day au mojawapo wa mabalozi wetu ataweza kuzungumzia darasa lako kupitia Skype na mradi wa Mazungumzo ya Amani.

Mtandao wa Shule

  • Kuwa sehemu ya mtandao wa shule wa Peace One Day.