Menu
One, the Peace Day Anthem

ONE’ is the Peace Day anthem, bringing artists from across the African continent together for peace and unity. Produced by Coke Studio in Nairobi it features Zwai Bala (South Africa), Ice Prince (Nigeria), Dama Do Bling (Mozambique), Maurice Kirya (Uganda), Alikiba (Tanzania) and Wangechi (Kenya). Premiering on Peace Day in Kigali, it can be PRE-ORDERED below and all money raised will help us continue to manifest action on the day throughout the Great Lakes region of Africa.

Pre-order here:

Siku ya Amani, Jumatatu Septemba 21, 2015

Kigali, Rwanda

Katika Siku ya Amani, Peace One Day itawaleta pamoja maelfu ya vijana kutoka Rwanda na kutoka sehemu zote za eneo la Maziwa Makuu ya Afrika ili kuwatia moyo kushiriki na kuwa nguvu ya msukumo nyuma ya fikra ya ulimwengu mmoja na endelevu, kwa kuitumia Siku ya Amani kama kichocheo cha vitendo.

Kwa kushiriki, vijana watapokea Kifurushi cha Elimu ya Amani ambacho kitakuwa na utepe wa kofia, utepe wa mkononi na a kipeperushi cha tangazo la elimu ya amani wazipeleke majumbani mwao, shuleni na katika jumuia ili kuendelea kusambaza ujumbe wa Siku ya Amani. 

Hizi hapa ni baadhi ya picha za vijana wakitumia vyanzo hizi ili kusherehekea Siku ya Amani:

Nini Kitatokea Katika Siku Hio
Jinsi ya Kuwasiliana

Ikiwa unafanya kazi na vijana na ungependa kushiriki katika tukio hili la kutia moyo, tafadhali tuma barua pepe kwa  drc.support@peaceoneday.org kwa maelezo zaidi na timu ya Peace One Day itawasiliana na wewe.